Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa kampeni wa CCM unaofanyika kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo Jumatano Oktoba 21,2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-MOSHI)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa kampeni wa CCM unaofanyika kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo Jumatano Oktoba 21,2020.
Mgombea Ubunge jimbo la Mwanga Ndugu Tadayo akimuombea kura Mh Rais Dk. John Pombe Mgufuli katika mkutano uliofanyika Chuo cha Ushirika M0shi mkoani Kilimanjaro.
Mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Dk Charles Kimei akimuombea kura Mh Rais Dk. John Pombe Mgufuli katika mkutano uliofanyika Chuo cha Ushirika M0shi mkoani Kilimanjaro.
Askofu wa kanisa la KKKT Askofu Dk Shoo amifanya maombi kabla ya kuanza kwa mkutano huo.
Askofu wa kanisa la KKKT Askofu Dk Shoo akiwa pamoja na viongzi wengine wa dini.
Mwanamuziki Harmonaizer akitumbuiza katika mkutano huo.
Baadhi ya wagombea udiwani wa Kilimanjaro wakiwa katika mkutano huo.
Msanii Dulla makabila akitumbuiza katika mkutano huo unaofanyika kwenye uwanja waUshirika mjini Moshi.
Baadhi ya viongozi wa chama cha Mapinduzi na serikali wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wadini ya Kiislamu wakifanya dua kuombea mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wa serikali wakiwemo wakuu wa wilaya wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya picha zikionesha maelfu ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo kwaajili ya kumsikiliza Rais Dk. John Pombe Magufuli.