……………………………………………
Menejimenti ya Flavaour Media kupitia Fullshangwe blog pamoja na Fullshangwe Tv tunaungana kwa pamoja kumpongeza mwandishi wa habari hapa nchini Bw.Elikunda Materu pamoja na mkewe Bi.Tonny John kwa kufunga pingu za maisha hivi karibu.
Tunamtakia maisha mema kwenye ndoa yao na Mungu awaongoze kwenye Shida na raha hivyo kuweza kufanikisha malengo yao hapa duniani.