Home Michezo BARCELONA YAICHAPA 5-1 FERENCVAROS LIGI YA MABINGWA ULAYA

BARCELONA YAICHAPA 5-1 FERENCVAROS LIGI YA MABINGWA ULAYA

0

Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 27 kwa penalti katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Ferencvaros kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barcelona yalifungwa na Ansu Fati dakika ya 42, Philippe Coutinho dakika ya 52, Pedri dakika ya 82 na Ousmane Dembele dakika ya 89, wakati la Ferencvaros lilifungwa na Ihor Kharatin kwa penalti dakika ya 70 PICHA ZAIDI SOMA HAPA