Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 27 kwa penalti katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Ferencvaros kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barcelona yalifungwa na Ansu Fati dakika ya 42, Philippe Coutinho dakika ya 52, Pedri dakika ya 82 na Ousmane Dembele dakika ya 89, wakati la Ferencvaros lilifungwa na Ihor Kharatin kwa penalti dakika ya 70 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
BARCELONA YAICHAPA 5-1 FERENCVAROS LIGI YA MABINGWA ULAYA
By Alex Sonna
October 21, 2020 | 7:11 am

Related Stories
View all
Michezo
3 hours ago
DC NDEMANGA: MAZOEZI SILAHA DHIDI YA MAGONJWA
Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo Agosti 14, 2026 MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga, amewasihi wananchi kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi mara kwa mara, akisema…
Michezo
1 day ago
TASWA KUZINDUA KAMPENI YA ‘AFCON KITAA 2027’ KUELEKEA FAINALI ZA AFRIKA
Dar es Salaam, Agosti 13, 2026 CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimetangaza rasmi kuanzisha kampeni maalum inayojulikana kama ‘AFCON Kitaa…
