Home Michezo MAN UNITED YANG’ARA UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA YAICHAPA 2-1 PSG PALE...

MAN UNITED YANG’ARA UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA YAICHAPA 2-1 PSG PALE PALE PARIS

0

Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 87 akimalizia pasi ya Paul Pogba ikiwalaza wenyeji, Paris Saint-Germain 2-1 kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris. Bao la kwanza la Man United lilifungwa na Bruno Fernandes kwa penalti dakika ya 23, wakati la PSG Anthony Martial alijifunga dakika ya 55 PICHA SOMA GONGA HAPA