Home Siasa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI NDANDA , MTWARA

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI NDANDA , MTWARA

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akimuombea kura mgombea Urais wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM katika mkutano wa kampeni  aliouhutubia kwenye  uwanja wa mpira wa Njenga uliopo Ndanda wilayani Masasi 

 

Mke wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mama Mary Majaliwa akimuombea kura mgombea  Urais wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika Mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa  kwenye uwanja wa mpira wa Njenga uliopo Ndanda wilayani Masasi

Msanii, Peter Msechu akiimba katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Mpira wa Njenga uliopo Ndanda wilayani Masasi 

 Msanii, Kala Geremiah akiimba katika mkutano wa Kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Mpira wa njenga uliopo Ndanda wilayani Masasi

 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ndanda wakifurahia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa alipotaja huduma mbalimbali zilizoboreshwa na serikali katika  Shule yao na shule nyingi za Mkoa wa Mtwara. Mheshimiwa Majaliwa alikuwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa  Mpira wa Njenga uliopo Ndanda wilayani Masasi, Oktoba 20, 2020