Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Eneo la Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga akiwa njiani kuelekea mkoani Kilimanjaro leo Jumanne Oktoba 20,2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU -MOMBO)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Eneo la Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga akiwa njiani kuelekea mkoani Kilimanjaro leo Jumanne Oktoba 20,2020.
Baadhi ya picha zikionesha wananchi mbalimbali wakiwa wamejitokeza kumlaki mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli alipopita eneo la Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga.