Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati aliposalimiana na wananchi wa eneo la Bunju jijini Dar es salaam akiwa njiani kuelekea mkoani Tanga kwa mikutano yake ya kampeni leo Jumatatu Oktoba 19,2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-BUNJU)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati aliposalimiana na wananchi wa eneo la Bunju jijini Dar es salaam akiwa njiani kuelekea mkoani Tanga kwa mikutano yake ya kampeni leo Jumatatu Oktoba 19,2020
Maelfu ya wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli katika eneo la Bunju jijini Dar es salaam leo.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi huku akiwa amemshika mtoto wakati aliposalimiana na wananchi wa eneo la Bunju jijini Dar es salaam akiwa njiani kuelekea mkoani Tanga kwa mikutano yake ya kampeni leo Jumatatu Oktoba 19,2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na mtoto wakati aliposalimiana na wananchi wa eneo la Bunju jijini Dar es salaam akiwa njiani kuelekea mkoani Tanga kwa mikutano yake ya kampeni leo Jumatatu Oktoba 19,2020.
Maelfu ya wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli katika eneo la Bunju jijini Dar es salaam leo.
Mgombea Ubunge wajimbo la Kawe kupitia CCM Askofu Josephate Gwajima akimsikiliza Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza na wananchi eneo la Bunju kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndugu Rodrick Mpogolo.