Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Eneo la Kiwangwa wilayani Bagamoyo akiwa njiani kuelekea mkoani Tanga leo Jumatatu Oktoba 19,2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU NA IKULU)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Eneo la Kiwangwa wilayani Bagamoyo akiwa njiani kuelekea mkoani Tanga leo Jumatatu Oktoba 19,2020.
Baadhi ya Wananchi wa Kiwangwa wilayani Bagamoyo wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipozungumza nao
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya nanasi kutoka kwa diwani wa CCM Kiwangwa Mara baada ya akizungumza na wananchi wa Eneo la Kiwangwa wilayani Bagamoyo akiwa njiani kuelekea mkoani Tanga leo Jumatatu Oktoba 19,2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akionesha nanasi alilozawadiwa na Diwani wa CCM Kiwangwa Mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Eneo la Kiwangwa wilayani Bagamoyo akiwa njiani kuelekea mkoani Tanga leo Jumatatu Oktoba 19,2020.
Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete akizungumza na kumuombea kura Rais John Pombe Magufuli wakati alipofika eneo la Msata wilayani Bagamoyo wakati akielekea mkoani Tanga kwa mikutano yake ya kampeni.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akiwa pamoja na mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Bi Zainab Kawawa wakati wakimsubiri Rais Dk John Pombe Magufuli katika eneo la Msata wilayani Bagamoyo alipokuwa akielekea mkoani Tanga kwa mikutano yake ya kampeni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Eneo la Msata wilayani Bagamoyo akiwa njiani kuelekea mkoani Tanga leo Jumatatu Oktoba 19,2020.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akizungumza katika mkutano eneo la Msata wakati akimuombea kura mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa akielekea mkoani Tanga.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika eneo la Msata ili kumlaki Rais Dk John Pombe Magufuli.