Home Michezo YANGA YAFANIKIWA KUINASA SAINI YA SHUJAA WA BURUNDI

YANGA YAFANIKIWA KUINASA SAINI YA SHUJAA WA BURUNDI

0

********************************

NA EMMANUEL MBATILO

Klabu ya Yanga imefanikiwa kuinasa saini ya Mshambuliaji raia wa Burundi Saidi Ntibazonkiza.

Ntibazonkiza alikuwa shujaa wa timu ya taifa ya Burundi walivyoumana na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) mechi ya kirafiki hivi karibuni.