********************************
NA EMMANUEL MBATILO
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuinasa saini ya Mshambuliaji raia wa Burundi Saidi Ntibazonkiza.
Ntibazonkiza alikuwa shujaa wa timu ya taifa ya Burundi walivyoumana na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) mechi ya kirafiki hivi karibuni.