Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia wanaCCM na Wananchi alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea [Picha na Ikulu] 03/10/2020. Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia wanaCCM na Wananchi alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuuwa mwaka huu zinazoendelea [Picha na Ikulu] 03/10/2020.
Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani.[Picha na Ikulu] 03/10/2020.