Vijana wa hamasa wa CCM wakiimba nyimbo za hamasa kwenye mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk John Pombe Magufuli unafanyika kwenye viwanja vya Maisara Mnazi Mmoja jijini Zanzibar Leo Jumamosi Oktoba 03, 2020.