Home Siasa RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA VWAWA MKOANI SONGWE

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA VWAWA MKOANI SONGWE

0

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mbimba mjini Vwawa mkoa wa Songwe leo Alhamisi Oktoba 01.2020.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-VWAWA-SONGWE)

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mbimba mjini Vwawa mkoa wa Songwe leo Alhamisi Oktoba 01.2020.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Songwe Comredi  Eneriko Mkola akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wakati alipokuwa akimkaribisha mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli mjini Vwawa.

Viongozi mbalimbali wa CCM pamoja na wagombea udiwani wakiwa wameketi jukwaani kwenye mkutano huo uliofanyika mjini Vyawa mkoani Songwe.

Baadhi ya viongozi wa dini wakiwa katika mkutano huo uliofanyika mjini Vwawa.

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Humphrey Polepole na  MNEC wa CCM mkoa wa Iringa na Mratibu wa uchaguzi Knda ya nyanda za juu Kusini Bw. Salim Abri Asas wakiwa wameketi jukwaa kuu.

Waimbaji wa kundi la TOT wakiimba wimbo maalum kumkaribisha mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliili kuzungumza na wananchi.

Picha mbalimbali zikionesha wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli mjini Vwawa mkoani Songwe.