Home Siasa MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI AINGIA MKOA WA SONGWE KWA KISHINDO,...

MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI AINGIA MKOA WA SONGWE KWA KISHINDO, AUNGURUMA VWAWA NA TUNDUMA

0

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtuza kofia mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Rose Mhando wakati wa  mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Vwawa katika Wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe leo

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Rose Mhando akifurahia kofia aliyotuzwa na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Vwawa katika Wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipungia maelfu ya wananchi wakati akiwasili kuhutubia mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Vwawa katika Wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Vwawa katika Wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe leo Alhamisi Oktoba 1, 2020

PICHA NA IKULU