Home Siasa MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN POMBE...

MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKIOMBA KURA KWA UMATI WA WANANCHI WALIOJITOKEZA ENEO LA MAFINGA AKIWA NJIANI KUELEKEA MBEYA

0

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mafinga akiwa njiani kuelekea Mkoani Mbeya.(PICHA NA JOHN BUKUKU-MAFINGA)

Mgombea Urais wa Jamhuri ya. Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mafinga wakati akiwa njiani akielekea mkoani Mbeya leo Jumanne September 29, 2020

Baadhi ya Wananchi waliojitokeza kumlaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli wakimsikiliza wakati Akizungumza nao katika mji wa Mafinga mkoani Iringa akiwa njiani akielekea mkoani Mbeya