Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mafinga akiwa njiani kuelekea Mkoani Mbeya.(PICHA NA JOHN BUKUKU-MAFINGA)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya. Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mafinga wakati akiwa njiani akielekea mkoani Mbeya leo Jumanne September 29, 2020
Baadhi ya Wananchi waliojitokeza kumlaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli wakimsikiliza wakati Akizungumza nao katika mji wa Mafinga mkoani Iringa akiwa njiani akielekea mkoani Mbeya