Home Siasa RAIS DK. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA IFUNDA AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI MBEYA

RAIS DK. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA IFUNDA AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI MBEYA

0

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na  wananchi wa Ifunda mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Mbeya leo Jumanne Septemba 29, 2020.

picha zikionesha wananchi mbalimbali wakimlaki Rais Dk John Pombe Magufuli katika mji wa Ifunda

Mgombea Ubunge jimbo la Iringa mjini Jesca Mtambasavangu na Mgombea ubunge jimbo la Isimani Wiliam Lukuvi wakiwa katika mkutano huo

Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga Ndugu Kiswaga akuomba kura