Chama cha Mapinduzi CCM kikiendelea kuchanja mbuga Angani na Ardhini, Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 27,2020 amezindua awamu ya tatu ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Zoisa Kongwa Mkoani Dodoma.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 27,2020 zilizofanyia katika Uwanja wa Kibaya Kiteto Mkoani Manyara.