Home Michezo KAI HAVERTZ APIGA HAT TRICK CHELSEA YAILAZA 6-0 BARNSLEY CARABAO CUP

KAI HAVERTZ APIGA HAT TRICK CHELSEA YAILAZA 6-0 BARNSLEY CARABAO CUP

0

Timu ya  Chelsea nayo imefanikiwa kutinga hatua ya nne bora ya Kombe la Ligi baada ya kuifanyia mauaji ya mabao 6-0 Barnsley huku mchezaji mpya aliyesajiliwa kwa Paun Milioni 89, Kai Havertz akifunga mabao matatu peke yake dakika ya 28, 55 na 65, mabao mengine yakifungwa na Tammy Abraham dakika ya 19, Ross Barkley dakika ya 49 na Olivier Giroud dakika ya 83 Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London PICHA ZAIDI SOMA HAPA