Home Michezo ARSENAL YAICHAPA 2-0 LEICESTER CITY NA KUTINGA RAUNDI YA NNE CARABAO

ARSENAL YAICHAPA 2-0 LEICESTER CITY NA KUTINGA RAUNDI YA NNE CARABAO

0

Wachezaji wa Arsenal wakipongezana baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City, mabao ya Christian Fuchs aliyejfunga dakika ya 57 na Eddie Nketiah dakika ya 90 usiku wa jana Uwanja wa King Power kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao CupĀ PICHA ZAIDI SOMA HAPA