Timu ya Chelsea nayo imefanikiwa kutinga hatua ya nne bora ya Kombe la Ligi baada ya kuifanyia mauaji ya mabao 6-0 Barnsley huku mchezaji mpya aliyesajiliwa kwa Paun Milioni 89, Kai Havertz akifunga mabao matatu peke yake dakika ya 28, 55 na 65, mabao mengine yakifungwa na Tammy Abraham dakika ya 19, Ross Barkley dakika ya 49 na Olivier Giroud dakika ya 83 Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London PICHA ZAIDI SOMA HAPA
KAI HAVERTZ APIGA HAT TRICK CHELSEA YAILAZA 6-0 BARNSLEY CARABAO CUP
By Alex Sonna
September 24, 2020 | 4:02 am

Related Stories
View all
Michezo
7 hours ago
SIMBA SC YAICHAPA YANGA 2-1, YAONGOZA LIGI KUU
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC, katika mchezo wa Ligi Kuu…
Michezo
2 days ago
OLBALBAL MWAMBA WA LUSAKA RHINO CUP
Mashindano ya Rhino Cup yamefikia tamati leo tarehe 8 oktoba, 2026 kwa timu ya kata ya Olbalbal kuicharaza bila huruma jumla ya Goli 3-2…
