Wanafunzi wakipita kwa maandamano wakati kilele cha miaka 56 ya Sherehe za Maadhimisho ya Elimu Bila malipo katika uwanja wa MaoDze Dong leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Zanzibar kama ishara ya kupokea Maandamano yaliyopita mbele yake katika Uwanja wa Mao-Dze Dong katika kilele cha maadhimisho ya Miaka 56 ya sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika leo.(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi
Wanafunzi wakipita kwa maandamano wakati kilele cha miaka 56 ya Sherehe za Maadhimisho ya Elimu Bila malipo katika uwanja wa MaoDze Dong leo.[Picha na Ikulu