…………………………………………………………
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema amesema Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameijenga Tanzania kwa muda mfupi na kwamba amekuja kujifunza jinsi maendeleo hayo yalivyofanyika.
Ameyasema hayo leo alipozungumza na Watanzania kwenye uwanja wa Lake Tanganyika asubuhi leo.
Amesema sio mara ya kwanza yeye na familia yake kutembelea Tanzania na kwamba maendeleo waliyoyaona leo hususan kwenye mji wa Kigoma yamemvutia sana.
Rais huyo yupo nchini kwa mazungumzo ya kiserikali yatakayoboresha biashara baina ya nchi mbili hizi.
TANZANIA NA MAGUFULI