Home Siasa PROFESA ALIYETABIRI USHINDI WA MARAIS TISA MAREKANI ABASHIRI USHINDI WA RAIS MAGUFULI

PROFESA ALIYETABIRI USHINDI WA MARAIS TISA MAREKANI ABASHIRI USHINDI WA RAIS MAGUFULI

0

……………………………………………………..

Profesa wa Kitivo cha Historia Chuo Kikuu cha Kimarekani, Allan Lichtman ametabiri ushindi wa kishindo wa Rais Magufuli katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kuhitimishwa Oktoba 28, 2020.

Lichtman ametabiri ushindi wa Marais tisa wa Marekani tangu mwaka 1984 na kwamba wote walishinda.

Lichtman alisema, “Kitendo cha Rais Magufuli kuiingiza Tanzania kwenye orodha ya mataifa yenye Uchumi wa Kati ni moja ya mambo yatakayompitisha”