Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na
Mwenyekiti wa Chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Kigoma mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Lake Tanganyika ili kumsikiliza leo Ijumaa Septemba 18, 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na
Mwenyekiti wa Chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa lake Tanganyika mjini Kigoma kabla ya kuwahutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni ili kumsikiliza leo Ijumaa Septemba 18, 2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-KIGOMA)
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na
Mwenyekiti wa Chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Lake Tanganyika ili kuwahutubia maelfu ya wananchi wa Kigoma mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Lake Tanganyika ili kumsikiliza, leo Ijumaa Septemba 18, 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na
Mwenyekiti wa Chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndugu Rodrick Mpogolo kushoto mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Lake Tanganyika ili kiwahutubia maelfu ya wananchi wa Kigoma mjini waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika ili kumsikiliza, leo Ijumaa Septemba 18, 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na
Mwenyekiti wa Chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuwahutubia wananchi kwenye uwanja wa Lake Tanzanyika leo.
Picha zikionesha maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na
Mwenyekiti wa Chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvisha kofia msanii Linex Mjeda mara baada ya kutumbuiza kwenye mkutano huo.
Msanii Linex Mjeda akiimba mbele ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na
Mwenyekiti wa Chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza wakati msanii huyo alipotumbuiza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Mmoja wa wananchi akionesha picha ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu ZittoKabwe akiwa anashuka kwenye Bombadier ya Shirika la Ndege la ATCL
Baadhi ya viongozi mbalimbali walioshiriki katika mkutano huo.
Mkuu wa wilaya ya Kigoma Bw. Samson Anga akiwa ameketi na baadhi ya viongozi wenzake katika mkutano huo.