Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) Idd Khamis Haji (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Tanzania Bara, Abdul-Razaq Badru wakati wa ziara ya kikazi katika Ofisi za HESLB zilizopo Tazara Jijini Dar es Salaam jana Jumatano (Septemba 16, 2020).
Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu Zanzibar (ZHELB) Idd Khamis Haji (katikati) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Tanzania Bara, Abdul-Razaq Badru (kulia) wakati wa ziara ya kikazi katika Ofisi za HESLB zilizopo Tazara Jijini Dar es Salaam jana Jumatano (Septemba 16, 2020). Kushoto ni Meneja Mikopo wa ZHELB Aboud Iddi Khamis.
Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu Zanzibar (ZHELB) Idd Khamis Haji (katikati) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Tanzania Bara, Abdul-Razaq Badru (kulia) wakati wa ziara ya kikazi katika Ofisi za HESLB zilizopo Tazara Jijini Dar es Salaam jana Jumatano (Septemba 16, 2020). Kushoto ni ni Meneja Mikopo wa ZHELB Aboud Iddi Khamis.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (kushoto) akizungumza wakati wa ziara ya kikazi iliyofanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) ikiongozwa na Mkurugenzi wa ZHELB, Idd Khamis Haji (kulia) pamoja na watendaji wengine wa ZHELB waliotembelea katika Ofisi za Makao Makuu ya HESLB, Tazara Jijini Dar es Salaam jana Jumatano (Septemba 16, 2020).
(PICHA NA BODI YA MIKOPO)