Home Siasa RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NYAKAHURA NA KAKONKO

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NYAKAHURA NA KAKONKO

0

Mgombea Urais kupitia  Chama cha Mapinduzi (CCM)ana 
Mwenyekiti wa Chama hicho  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyakahura wilayani Biharamulo mkoani Kagera wakati akiwa njiani kuelekea Kibondo -Kasulu – Kigoma leo Alhamis  Septemba 17, 2020.

Mgombea Ubunge wa jimbo la Biharamulo Injinia Jonas Chiweleza akimuomba kura Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati aliposimama kuzungumza Nyakahura.

Wananchi wakimsikiliza Rais Dk John Pombe Magufuli  alipokuwa akizungumza nao katika mji wa Nyakahura wilaya ya Biharamulo