Mke we Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akitoa Hutuba yake wakati wa kongamano la Wanawake wa Chama cha Mapinduzi CCM, lililofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba leo(kulia) Mke wa Mgombea Ufrais Zanzibar Mama Marium Mwinyi,akifuatiwa na Makamo UWT Tanzania Thuwaiba Edington Kisasi(kushoto) Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi. [Picha na Ikulu.]17/09/2020.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Chakechake Pemba kufungua Kongamano la Wanawake wa Cama cha Mapinduzi lililofanyika Leo.[Picha na Ikulu.]17/09/2020.
Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akizungumza na na Wanawake wa Chama cha Mapinduzi katika kongamano lililofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba Leo. [Picha na Ikulu.]17/09/2020.
Baadhi ya Wanawake wa jumjuiya mbalio mbali za Chama cha Mapinduzi wakiwa katika Kongamano la siku moja lililofunguliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo.[Picha na Ikulu.]17/09/2020.