Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Bunge Ndg. Jane Kajiru alifungua kwa niaba ya Katibu wa Bunge Mafunzo kuhusu Jinsia yaliyotolewa kwa Watumishi wa Bunge–Idara ya Maktaba na Utafiti. Mafunzo hayo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa chini ya Ufadhiri wa Mradi wa Kulijengea Bunge uwezo (LSP II).
Watumishi wa Bunge kutoka Idara ya Maktaba na Utafiti wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bunge Ndg. Jane Kajiru baada ya kufungua kwa niaba ya Katibu wa Bunge Mafunzo kuhusu Jinsia yaliyotolewa kwa Watumishi wa Idara hiyo kwenye Ukumbi wa Msekwa chini ya Ufadhiri wa Mradi wa Kulijengea Bunge uwezo (LSP II).