Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Chato katika mkutano wa Kampeni za CCM unaofanyika kwenye uwanja wa Mazaina mjini Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Septemba 2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-CHATO-GEITA)
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono huku akiwa ameshika kofia kabla ya kuwahutubia wananchi wa Chato katika mkutano wa Kampeni za CCM unaofanyika kwenye uwanja wa Mazaina mjini Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Septemba 2020.
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati msanii Elizabeth akiimba kabla ya kuwahutubia wananchi wa Chato katika mkutano wa Kampeni za CCM unaofanyika kwenye uwanja wa Mazaina mjini Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Septemba 2020.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Chato Mh.Dk. Meldard Kalemani katikati , Mgombea ubunge wa jimbo la Sengerema mkoani Mwanza Bw. Tabasam kushoto wakicheza muziki wakati msanii Elizabert akiimba jukwaani.
Baadhi ya madiwani wakicheza muziki wakati msanii Elizaberth akiimba jukwaani.
Msanii Elizaberth akimba wimbo wa Magufuli wakati wa mkutano huo.
Askofu wa Kanisa la AICT Tanzania Askofu Magwesela akiombea mkutano wa kampeni unaofanyika kwenye uwanja wa Mazaina mjini Chato.
Wagombea ubunge wa majimbo ya Geita mjini na Bukombe kulia ni Costantine Kanyasu Geita na kushoto ni Dotto Biteko Bukombe.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa kampeni unaofanyika kwenye uwanja wa Mazaina mjini Chato.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Chato Dk. Merdald Kalemani akizungumza na wananchi na kumuombea kura Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano wa kampeni unaofanyika kwenye uwanja wa Mazaina mjini Chato.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Bukombe Bw. Dotto Biteko akizungumza na wananchi na kumuombea kura Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano wa kampeni unaofanyika kwenye uwanja wa Mazaina mjini Chato.
Wananchi mbalimbali wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli wakiwa katika mkutano huo.