
Mshambuliaji wa Simba SC, Mnyarwanda mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere akifanya mazoezi gym, timu yake ikijiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi Uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro

Kiungo Hassan Dilunga akifanya mazoezi gym, Simba ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi Morogoro

Kiungo wa kimataifa wa Msumbiji, Luis Miquissone akifanya mazoezi gym, Simba ikijiandaa kuivaa Mtibwa Sugar Jumamosi

Bek tegemeo wa Simba, Kennedy Willson Juma akifanya mazoezi gym kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar

Kiungo Mbrazil, Gerson Fraga ‘Viera’ (kulia) na mshambuliaji Mkongo, Chris Mugalu wakifanya mazoezi gym, Simba ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar