Home Michezo YACOUBA SOGNE NA NYOTA WENGINE YANGA SC WAKIIWINDA MBEYA CITY KWA HASIRA...

YACOUBA SOGNE NA NYOTA WENGINE YANGA SC WAKIIWINDA MBEYA CITY KWA HASIRA ZOTE JUMAPILI

0

Mshambuliaji Mburkinabe wa Yanga SC, Yacouba Sogne akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijino Dar es Salaam

Beki wa Bakari Nondo Mwamnyeto (kulia) na kiungo Zawadi Mauya (kushoto) wakiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mbeya City Jumapili 

Kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima akiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mbeya City  

Kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ akiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa kuivaa Mbeya City Jumapili 

Wachezaji wa Yanga SC wakifurahia mazoezini kuelekea mchezo na Mbeya City Jumapili