Wananchi wa jiji la Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika maeneo ya Igoma, Nyakato Buzuluga na Mabatini jijini Mwanza kumpokea Mgombea wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye amewasili mkoani Mwanza kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za Urais
2-MGOMBE URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS DKT. MAGUFULI APOKEWA NA MAELFU YA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA AKITOKEA MUSOMA MKOANI MARA
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/09/15-6-scaled.jpg)