Home Siasa MSAFARA WA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM RAIS DK.JOHN POMBE MAGUFULI WAWASILI MWANZA.

MSAFARA WA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM RAIS DK.JOHN POMBE MAGUFULI WAWASILI MWANZA.

0

 

Msafara wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli ukiwasili jijini Mwanza jioni hii Jumapili 06, Septemba, 2020 ukitokea Musoma Mkoani Mara ambapo Dk. Magufuli akiwa njiani amehutubia wananchi na kuwaomba kura katika maeneo mbalimbali Lamadi wilayani Busega mkoani Simiyu, Lugeye , Kahangara,Nyanguge, Kisesa wilayani Magu, Igoma, Nyakato, Buzuruga na Mabatini Mkoani wilaya ya Nyamagana mkani Mwanza.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-MWANZA)