Picha mbalimbali za Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia
ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa mkoa wa Simiyu leo .
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Bariadi katika mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM zilizofanyika katika uwanja wa Bariadi mkoani Simiyu
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watoto wenye Ulemavu wa Ngozi mara baada ya kuwasili Bariadi mkoani Simyu.