Home Siasa MKUTANO WA KAMPENI KIBAHA VIJIJINI

MKUTANO WA KAMPENI KIBAHA VIJIJINI

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Kibaha Vijijini kata ya Mtambani Wilayani Kibaha Mkoani Pwani baada ya kuwahutubia mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Kibaha Vijijini Wilayani Kibaha Mkoani Pwani kwenye mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM  

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kibaha Vijijini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM  katika Viwanja vya Stendi ya Zamani Kibaha Mkoani Pwani leo Septemba 04,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)