Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akipokea fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka kwa Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Agosti 21, 2020. (Picha na Eliud Rwechungura).
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe akitoa maelekezo ya Uchaguzi baada ya kutoa fomu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa mgombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Agosti 21, 2020.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akisikiliza maelekezo ya uchaguzi baada ya kupokea fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka kwa Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Agosti 21, 2020