Home Siasa MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO...

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA CCM (NEC) KATIKA MAKAO MAKUU YA CCM JIJINI DODOMA

0

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa NEC wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, kwa ajili ya kujadili na kupitisha majina ya wagombea wake wa Ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao.