Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,[Picha na Ikulu] 16/08/2020. Washauri wa Vikosi vya SMZ pamoja na Maafisa wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa mwaka 2020/2021 cha Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 16/08/2020.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akiwa na Watendaji katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 16/08/2020.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maluum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir akisoma taarifa ya Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 wakati wa Kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Shamata Shaame Khamis.[Picha na Ikulu] 16/08/2020. Maofisa katika Vikosi vya SMZ wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 cha Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 16/08/2020.