Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakati wa mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alikoteuliwa na Mkutano wa Halmashauri Mkuu ya CCM Taifa (NEC)[Picha na Ikulu].15/07/2020. Waadhi ya Wazee wakisoma Gazeti ya Uhuru toleo Maalum linalohusu Maendeleo ya Tanzania katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakati wa mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alikoteuliwa na Mkutano wa Halmashauri Mkuu ya CCM Taifa (NEC)[Picha na Ikulu].15/07/2020.
Umoja wa wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa kama wanavyoonekanwa picha ni hawapo nyuma katika mapokezi ya ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alikoteuliwa na Mkutano wa Halmashauri Mkuu ya CCM Taifa (NEC)[Picha na Ikulu].15/07/2020.