Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akizungumza na watumishi wa NEC ambao wamehamia Ofisi mpya za Makao Makuu ya Ofisi hiyo yaliyopo Njedengwa Jijini Dodoma jana. Awamu ya kwanza ya watumishi wa NEC wamehamia Dodoma wiki hii.
Watumishi katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC) wakimsikiliza Murugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera (hayupo pichani) wakati akizungumza na watumishi waliohamia kwa awamu ya kwanza katika ofisi mpya za Makao Makuu tume yaliyopo Njedengwa Jijini Dodoma jana. (Picha na NEC)