SiasaKAIRUKI ACHUKUA FOMU JIMBO LA SAME MAGHARIBI Last updated: 2020/07/14 at 7:47 AM Alex Sonna 4 years ago Share SHARE Waziri wa Uwekezaji Angela Jasmine Kairuki amechukua fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14 , 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Same bibi Victoria Mahembe. Alex Sonna July 14, 2020 July 14, 2020 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article VIONGOZI WA KIISLAMU LETENI MAENDELEO MNAPOPATA NAFASI Next Article NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA UBUNGE WA JIMBO LA MBEYA MJINI
Waziri wa Uwekezaji Angela Jasmine Kairuki amechukua fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14 , 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Same bibi Victoria Mahembe.