Home Siasa KINANA, WASANII WANOGESHA MKUTANO MKUU WA CCM JIJINI DODOMA

KINANA, WASANII WANOGESHA MKUTANO MKUU WA CCM JIJINI DODOMA

0

Msanii Diamond Platinumz akitumbuiza kwa wimbo wa “Magufuli Baba Lao” wakati wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020 (PICHA NA JOHN BUKUKU FULLSHANGWEBLOG NA IKULU)

Msanii nguli wa Bongo Fleva Ali Kiba akitumbuiza wajumbe katika
Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020

Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana akielekea
jukwaa kuu kusalimia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020, ikiwa ni siku moja baada ya chama hicho tawala kumsamehe baada ya kuomba radhi kwa makosa aliyoyafanya miezi kadhaa iliyopita.

Kwaya ikitumbuiza wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020

Mama Janeth Magufuli, Mke wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimtuza msanii Bob Haisa alipotumbuiza wakati wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020

Msanii Zuchu akitumbuiza katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM
katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi
Julai 11, 2020

 Msanii Bill Nass na wenzie wakitumbuiza katikanMkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020

Msanii Mrisho Mpoto akifurahia jambo akiwa na wenzake katika mkutano huo.

Wasanii Ali Kiba kulia na Sheta wakiwa katika mkutano huo.

Wasanii mbalimbali wakifuatilia mkutano huo.

Msanii Diamondplatnamz akiwa amevalia Ki CCM akifutilia matukio katika mkutano huo msanii huyo alifanya mambo makubwa wakati akiwatumbuiza wajumbe wa mkutano huo

Wasanii Queen Daleen na Zuchu wakifuatilia matukio katika mkutano huo.