………………………………………………………..
Hospital ya Mnazi Mmoja ya Tekeleza Agizo la Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia maswala ya Afya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI) Dkt. Dorothy Gwajima la kuweka namba za Huduma kwa Wateja ili wananchi kuwasilisha kero na kutatuliwa kwa wakati.
Angizo hilo lilitolewa mapema wiki iliyopita Dkt Gwajima alipofanya ziara katika Hospitali hiyo iliyoko Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam
Ikumbukwe kuwa ufuatiliaji unaendelea hospitali zingine zote za halmashauri, vituo vya afya na zahanati