Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(Kulia) akizungumza katika Kikao cha Kumpitisha kwenye Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimehusisha Wakuu wa Idara na Vitengo, Makamishna wa Fedha na Wakuu wa Manunuzi wa Vyombo vilivyomo ndani ya Wizara hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, Jijini Dodoma. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, Peter Bundala.
Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, Peter Bundala(Kushoto) akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima(Kulia) katika Kikao cha Kumpitisha kwenye Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021, kikao hicho kimeshirikisha Wakuu wa Idara na Vitengo, Makamishna wa Fedha na Wakuu wa Manunuzi wa Vyombo vilivyomo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Kikao kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Wanja Mtawazo, akizungumzia Utangazaji wa Zabuni katika Kikao cha Kumpitisha, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(hayupo pichani) kwenye Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimehusisha Wakuu wa Idara na Vitengo, Makamishna wa Fedha na Wakuu wa Manunuzi wa Vyombo vilivyomo ndani ya Wizara hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Marlin Komba(katikati) akifafanua jambo juu ya Kuandaa Mfumo wa Manunuzi katika Kikao cha Kumpitisha, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(hayupo pichani) kwenye Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimehusisha Wakuu wa Idara na Vitengo, Makamishna wa Fedha na Wakuu wa Manunuzi wa Vyombo vilivyomo ndani ya Wizara hiyo. Kikao kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, Jijini Dodoma leo.
Kamishna wa Fedha na Utawala, Idara ya Uhamiaji, Edward Chogero (Wa kwanza kushoto) akizungumzia Changamoto za Mfumo wa Manunuzi katika Kikao cha Kumpitisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(hayupo pichani) kwenye Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimeshirikisha Wakuu wa Idara na Vitengo, Makamishna wa Fedha na Wakuu wa Manunuzi wa Vyombo vilivyomo ndani ya Wizara hiyo. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, Jijini Dodoma leo.
Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Martina Nguluma(Kulia) akifafanua jambo kuhusu gharama za manunuzi kwenye Kikao cha Kumpitisha, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(hayupo pichani) kwenye Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimehusisha Wakuu wa Idara na Vitengo, Makamishna wa Fedha na Wakuu wa Manunuzi wa Vyombo vilivyomo ndani ya Wizara hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo, Makamishna wa Fedha na Wakuu wa Manunuzi wa Vyombo vilivyomo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakifuatilia kikao kilichokuwa kinaendelea cha Kumpitisha, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhani Kailima(hayupo pichani) kwenye Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo, Makamishna wa Fedha na Wakuu wa Manunuzi wa Vyombo vilivyomo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakifuatilia kikao kilichokuwa kinaendelea cha Kumpitisha, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhani Kailima(hayupo pichani) kwenye Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, Jijini Dodoma.
Afisa Ugavi Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, Alex Leopord (aliyesimama), akiwaongoza, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, Wakuu wa Idara na Vitengo, Makamishna wa Fedha na Wakuu wa Manunuzi wa Vyombo vilivyomo ndani ya Wizara hiyo kwenye Kikao cha Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, Jijini Dodoma.