Home Mchanganyiko IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA

IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA

0

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akipokea salamu ya kijeshi  wakati alipowasili mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ikiwemo kuzungumza na maofisa na askari wa vyeo mbalimbali kuhusiana na maandalizi ya kuelekea kwenye uchaguzi mkuu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya askari wa Jeshi hilo wakati alipowasili mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi.