Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika katika jengo hilo leo Maisara Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati hafla iliyofanyika katika jengo hilo leo Maisara Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud Twalib (kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa ZURA Nd,Haji Kali Haji (wa pili kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Nd.Ali Khalil Mirza wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati mara baada ya kulifungua jengo hilo leo liliopo Maisara Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa ZURA Nd,Haji Kali Haji wakati alipotembelea jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati mara baada ya kulifungua rasmi jengo hilo leo liliopo Maisara Mjini Zanzibar
Waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Maisara Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo jipya la Wizara hiyo lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Maisara Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Nd.Ali Khalil Mirza alipokuwa akitoa taarifa ya kitaalam katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo jipya la Wizara hiyo lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Maisara Mjini Zanzibar.
Waziri wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud Twalib alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) kuzungumza na Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati uliofanyika leo Maisara Mjini Zanziba,(kushoto) Mshauri wa Waziri Nd,Mwalimu Ali Mwalimu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi mbali mbali Wananchi na wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla ufunguzi wa jengo jipya la Wizara hiyo leo Maisara Mjini Zanzibar,(katikati) Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Salama Aboud Twalib na Naibu wake Mhe.Juma Makungu Juma(kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Viongozi mbali mbali Wananchi na wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla ufunguzi wa jengo jipya la Wizara hiyo leo Maisara Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu