MWENYEKITI wa Wawawakilishi Wanawake Zanzibar (UWAWAZA) ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma akitowa pongeza kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kwa ushirikiano wake kikamilifu katika shughuli za maendeleo mbalimbali zikiwemo za Kijamii.(Picha na Ikulu)