Home Mchanganyiko DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA

DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo   Kamanda Mohamed Mussa Seif  (Mkobani). baada ya kumuapisha kuwa  Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo   Dk.Juma Malik Akil kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar mara baada ya kumuapisha rasmi katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Juma Malik Akil kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba Kamanda Mohamed Mussa Seif  (Mkobani). katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020.

Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Kamanda Mohamed Mussa Seif ambae ni  Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba na   Dk.Juma Malik Akil  Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzinar kabla ya kuapishwa leo, [Picha na Ikulu] 24/06/2020. 

Pichani kushoto Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman  na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Mohamed ramia Abdiwaa ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya Kiapo kwa Viongozi walioteuliwa Ikulu Mjin Zanzibar leo,[Picha na Ikulu] 24/06/2020. 

 Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba  Kamanda Mohamed Mussa Seif (Mkobani).

Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuwapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 24/06/2020

Dk.Juma Malik Akil  Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar.